Sport | Tayari mrithi wa Arsene Wenger apatikana
Kwa taaarifahivi ambazo tunazinasa ni kwamba aliyekuwa kocha wa Borussia Dortmund, Thomas Tuchel ameipiga teke ofa ya Bayern Munich ili akamilishe kujiunga na Arsenal.
Aidha, Kwa mujibu wa ripoti ya magazeti barani Ulaya, Tuchel mwenye umri wa miaka 44, amekataa kurithi nafasi itakayoachwa na meneja wa sasa wa Bayern Munich Jupp Heyckes ambaye kuna uwezekano wa kocha huyu kuachana na klabu hiyo mwisho wa msimu huu.
Huku habari inaeleza p kuwa nafasi ya Tuchel kujiunga na Arsenal si ya moja kwa moja pia upande wa PSG nao wanamunyatia Mjermani huyo baada ya kutangaza kuachana na kocha wao wa sasa Emery Unai.

Post a Comment