msanii Mr Depa Mavoko ivi karibuni kutowa nyimbo na Msanii kutoka Bongo Fleva
ni msanii kutoka Burundi na anaishi pande za uko kany empire( kanyosha), Kiza Depa al maarufu kama Mr Depa ao ukipenda umuite Mavoko. ivi karibuni ametuweka wazi baada ya ukimya mrefu sana kwenye game ya muziki na kutotowa ata nyimbo moja bali ya kushirikiswa kwenye nyimbo za wengine, amesikika nakutuweka wazi kwamba ni kweli amekuwa kimya na mashabiki zake wengi walikua wakimusumbuwa na kumuuliza kama ameeba game hii, ila yeye amejibu nakusema kwamba: haahahahahahahaha sijaeba game hii ya muziki na ndio kazi yangu ila nimekua najipanga ki stamina na ili nitoke tena kitofahuti kama gisi wanavyo nitambua
tumetaka kujuwa mengi kuusu msanii huu na ndipo ametuweka wazi na tukaja kuakikisha hii habari yake ya kwamba anatarajia kutowa bonge la track uku akishirikiana na mkali wakufoka kutoka nchi jirani ya Tanzania ambae ni Chid Benz. nyimbo nikama tayari iko studio na inatengenezwa ivi punde tu atakuja kuiweka ewani na kuja kistahili tofauli kama mbele wakati amekua anatamba na nyimbo yake Zena, ambao imechukuliwa na wasanii vigogo wa hapa Burndi nakuirudilia ikawa Zena Remix ambao ameshirikiana na Sat-b, R-flow, Mkombozi na wengineo.
ni nyimbo mpya itakuja kwajina ya Maya akishirikiana na msanii wa Bongo Fleva Chidi Benz; ni buja mpaka dar, bonge la song itatoka na muvuto mkubwa sana.
hii ndio maneno ya Mr depa ambae amesikika nakuonesha furaha ya yeye kufanya kazi na msanii mkubwa wa nje kama Chidi Benz na kusema kwamba:
nilipo ongea naye nimefurahi sana kwamaana amenipa mda wakujieleza na nikamuambia lengo langu nikufanya kazi naye, ata nyimbo mbili na amenikubalia na ivi tuko nafanya kazi ya nyimbo inayo itwa Maya, ni moja yapo ya mafanikio yangu ya mi kujitangaza kimataifa, na ndoto yangu imetimia Mola anijalie na amini kuwa yeye ndiye muwezo yote tashinda, na amini japo wachache watapinga insha Allah.

Post a Comment