wachezaji 10 kutoka kwenyue timu ya Barcelona sasa wanasimamia kama makocha.
Ikiwa muiingereza Bobby Robson bado angekuwa hai, bilashaka angepata furaha sana kuona wachezaji wake wa zamani kwenye ya Barcelona wamegeuka ma kocha wazuri. Wachezaji 10 ambayo amechezea uwanja wa Nou Camp wakati wa msimu wa 1996/1997 ,
Laurent Blanc
Luis Enrique (kocha mpya wa Barca)
Guardiola (Bayern)
Lopetegui (Porto)
Pizzi (Valencia)
Ferrer (Cordoba)
Sergi (Huelva)
Abelardo (Gijon)
Bakero (kocha wazamani wa Real Sociedad).
Post a Comment