MISHE-BOY

Wachezaji wa 2 Warundi Wazidi kutamba mu A.S.A.S DJIBOUTI TELECOM

wachezaji wa wili Nzokira Jeff na Andosango Freddy, walio sajiliwa na klabu ya A.S.A.S DJIBOUTI TELECOM  nchini Djibouti, kwa mara ya kwanza sasa iyo Timu inakua babe sana Katika Mji wa Djibouti  musimu huu na ulio pita kwa kuchukua kombe mwaka jana na inapelekeya huu mwaka itachukua kwa mara ya 2 mfululizo.
goli kipa wazamani wa Vital'o ya hapa nchin Burundi tena mchezaji wa intamba Nzokira Jeff amesaidia sana klabu yake ya A.S.A.S DJIBOUTI TELECOM kuwa kilele na pointi zote 27 kwenye mech 9 bila kupoteza ata moja.
 na ni hapo juzi walipo cheza machi ya mwisho ya awali na wakaibuka washindi kwa mabao matano bila(5-0) dhidi ya universiter Fc, na katika mabao ayo matano ya A.S.A.S DJIBOUTI TELECO, kijana wa kutoka hapa nchini Burundi pia mchezaji wa zamani wa Lydia LydicAcademic Andosango Freddy amejifungia mabao matatu na kuondoka na mpira (ballon) nyumbani kwake.



na tulipo ongea naye ametuonyesha ishara ya furaha sana nakusema kwamba ajawahi kueshimika duniani ila tangu alipofika Djibouti namapokezi ya washabiki imemufanya ajitume sana akiwa uwanjani na kila mechi amecheza nakufunga magoli na hapo jana alipo ondoka na mpira nyumbani kwake kwakufujifungia magoli matatu pekee yake amefurahi sana.
Andosango:''huu sio mda wakupoteza unapo pata bahati yakupendwa na mashabiki inabidi uoneshe uwezo wako ili kazi yako kuwa nzuri sana". 
 








viongozi wa timu ya A.S.A.S DJIBOUTI TELECOM, wamefurahishwa sana na wachezaji wa 2 wakutoka Burundi nakusema kwamba tumefika katika hii levo nikwamchango mkubwa wa golikipa(Nzokira Jeff) ambaye kwenye mechi 9 amefungwa goli 2 tu na kila mechi tumepata ushindi kwa pasi nzuri sana za Andosango Freddy naye amejaza magoli mengi. na kwakuwapongeza wamefanya kama chakula cha pamoja wote wakila na wakifurahi sana.


Hakuna maoni