MISHE-BOY

Sport | RD Congo kupigwa vikali na Tanzania ya Samatta

Timu ya taifa RD Congo imepoteza mchezo wake dhidi ya Tanzania (2-0) Jumanne hii katika mechi ya kirafiki kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium mjini Dar e Salaam.

Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe ya DR Congo, Samatta aliifungia Taifa Stars bao la kwanza kabla ya Kichuya kuweka breki.

Kocha wa DR Congo, Florent Ibenge alikuwa na matatizo kwenye kikosi chake baada ya kuwakosa wachezaji kadhaa ikiwa ni pamoja na Bakambu, Kakuta, Ikoko, Mpeko na Masuaku.
Wakati bao ya Assombalonga la mkongo kukataliwa labda ingeweza kuziwia bao la Samatta (80') na Kichuya (86').

Tuwakumbushe 11 iliyoanza upande wa DR Congo :  Matampi – Mpeko, Bangala, Moke, Ngonda – Tshibola, Kebano, Mbemba – Mubele, Afobe, Bolasie

Hakuna maoni