MISHE-BOY

wachezaji 18 wa Burundi Senior walio itwa kucheza machi dhidi na Tanzania

ni machi ya kirafiki ambao timu ya Burundi Intamba Murugamba inajiandaa kwa mashindano ya kombe ya Afrika (Maroc Can 2015). timu ya taifa ya Burundi inajiandaa vizuri kwa izi mwezi kama mbili kwa kucheza machi ya kujipima nguvu.machi ya kwanza timu ya taifa Intamba Murugamba imecheza na Timu ya Taifa Amavubi ya Rwanda (1-1), na kwa sasa inajiandaa tena vizuri kucheza mechi nyingine ugenini dhidi ya timu ya taifa Ya Tanzania mjini Dar es salam ifikapo tarehe 26/04/2014.
Mheshimiwa Révérien NDIKURIYO, amesikika nakuweka wazi wa kocha ambao watakao chukuwa mamlaka ya timu ya taifa na kuvunja fununu ya kwamba kocha Nasseem Lofty ndiye kocha wa Intamba ila mambo imebadilika na kocha ambae ameteuliwa ni Rainer WILFRIED kwa sasa yupo Misri nyumbani.
ma kocha ambao watajielekeza Tanzania ni pamoja na NIYUNGEKO OLIVIER MUTOMBOLA   na NDAYIZEYE Jimmy.
kwenye orodha ya wachezaji, 15 nikutoka hapa nchini Burundi (wanao cheza soka ya nyumbani) na wa 3 ndio watajiunga, wakicheza soka la kulipwa ugenini, ni pamoja na Amissi Cedric , Tambwe Amissi  na Kavumbagu Didier.
 wachezaji ambao wamepangwa kucheza mechi ya tarehe 26/4/2014 na safari inapangwa tarehe 24/04/2014 usiku.

 1. ARAKAZA Mc ARTHUR / Flambeau de l'Est
2. BIHA Omar / Vital'o Fc
3. KIZA Fataki / LLB
4. RUGONUMUGABO Stéphane/LLB
5. HAKIZIMANA Issa / LLB
6. HARERIMANA Rashid /LLB
7. NDIKUMANA Yussuf Lule / LLB
8. MOUSSA Mossi / Vital'o Fc
9. NAHIMANA Shassir / Inter star
10. NDARUSANZE Claude / LLB
11. NZIGAMASABO Steve /Vital'o fc
12. SHABANI Hussein Tsabalala / Flambeau de l'Est
13. NKURIKIYE Léopold / Inter star
14. HAKIZIMANA Pascal / Flambeau de l'Est
15. Amissi Cédric / Rayon sport
16. Jumapili Idon / Vital'o Fc
17. Amissi Tambwe / Simba Sc
18. KAVUMBAGU Didier / Yanga Africans.

Hakuna maoni