MISHE-BOY

Sport | André Ayew kurudi Swansea?

Mchezaji wa Ghana André Ayew kuna uwezekano wa kubadilisha hewa wakati huu wa dirisha la usajili. Kurudi katika klabu ya Swansea kwa wakati huu  inafikiriwa.

Licha ya nusu ya kwanza ya msimu akifanya vizuri na kusisimua, kuna uwezekano wa mchezaji huyu kuondoka West Ham msimu huu. Swans wameonesha niya ya kumurudisha  mchezaji wao wa zamani. 
Ada ya uhamisho wake ni kiasi cha euro milioni 20. Anasubiriwa kwa hamu kubwa na kumkuta ndugu yake mdogo, Jordan.  
Amekwisha ifungia timu yake bao matatu na pasi mbili za uhakika katika michezo 16 ya Ligi Kuu, Ayew hajampendeza meneja wa Hammers David Moyes.

Hakuna maoni