tizama picha ya Mechi kati ya Flambeau vs Diable Noire (1-1)
ni hapo jana tarehe 15/02/2014 ndipo klabu 2 moja kutoka hapa Burundi ni Flambeau na wapinzani wao kutoka Congo Brazaville ni Diable Noire, mechi ya awali vijana wa flambeau wamefanya vizuri sana kwa kupata ushindi wa bao 1 kwa bila nchini Brazaville.
mechi ya marudio imechezeka jana tarehe 15 mwezi wa pili mwaka wa 2014 na imechezwa kwenye uwanja wa Mwana Mfalme Prince Louis Rwagasore, mechi ikamalizika kwa mabao 1-1 kwa ujumla ni 2-1 na ikaipelekeya klabu ya Flambeau kupata tiketi ya kuendelea michuanao ya ligi ya Mabingwa barani Africa ( Champions league).
wa chezaji wa Flambeau de L'est Cedrick na Bosingwa Radjabu wakijielekeza uwanjani |
wachezaji wa Flambeau, Landri na Butoyi wakitoka kujinyosha misuli mwanzo wa mechi |
klabu ya Diable Noire ikipiga picha kwa pamoja kwa wachezaji 11 walio anza |
klabu ya Flambeau de L'Est ikipiga picha ya pamoja kwa wachezaji 11 walio tangulia kucheza |
hao ndio walio simamia mchezazo kati ya Flambeau na Diable Noire |
hii ndio mpira wa kutenga ambao umesababisha Diable Noire ipate bao Moja |
Diable Noire ikisherekea Bao yao 1 |
vijana wa Flambeau awakuchoka kupambana kiume |
mashambulizi imekuwa mengi sana kwenye lango ya diable Noire |
gaooooooooooool ya Flambeau de L'Est kwenye dakika 87' |
wachezaji wa Flambeau wakisherekeya usindi wao pamoja na mashabiki |
wachezaji wa Diable Noire wakiwaza baada ya mechi kumalizika kwenye ushindi wa 1-1 na kuondolewa kwenye mashindishano |
Post a Comment