MISHE-BOY

Sport | Tp Mazembe Katika kundi la Kifo kwenye Ligi ya mabingwa CAF

Timu ya DR Congo, TP Mazembe imefuzu kwa tabu kwa awamu ya makundi ya Ligi ya Mabingwa CAF, timu hiyo inasubiri mnamo Machi 21 ili kujua wapinzani wake.

TP Mazembe ambayo inashiriki mara kadhaa Ligi ya kifahari zaidi katika bara, wanaweza kuwa katika kundi kubwa sana msimu huu.

Hakika ukitazama kofia mbili zina timu kubwa kubwa, TP Mazembe inaweza kuwa katika kundi ifuatayo :

TP Mazembe
Esperance Sportive de Tunis ( Tunisia)
Horoya  AC ( Ginea)
MV Algiers ( Algeria)

Niwafahamishe kwamba TP Mazembe mara nyingi inapata misukosusko na timu kutoka Afrika Kaskazini na inaweza kukutana na timu hizi chache kwenye michuano hiyi.


Jumatano hii ndio itahamua!

Hakuna maoni