Sport | Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya UEFA Ligi ya Mabingwa
UEFA imeweka wazi majina ya wachezaji wanao wani tuzo y Golikipa bora, mlinzi bora, kungo bora na mshambuliaji bora kwa msimu uliopita katika Ligi ya Mabingwa.
Washindi kwa post watatangazwa wakati wa kutora hatua ya makundi la toleo la pili ambalo litafanyika Agosti 30, 2018 huko Monaco.
Hawa hapa wachezaji wanao wania tuzo la UEFA :
Magolikipa:
Alisson Becker (Roma / Liverpool), Gianluigi Buffon (Juventus / Paris), Keylor Navas (Real Madrid);
Mabeki:
Marcelo (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Raphael Varane (Real Madrid);
Post a Comment