MISHE-BOY

Video | Lolilo na Diamond watarajia ku shoot video ya wimbo wao Afrika Kusini


Nyota wa muziki wa Buja Fleva, Lolilo ( Simba) alifunguka mbele ya mashabiki zake mkaona Rutana katika show iliyoandaliwa na msanii Titus Da Salior ikibeba jina la Icipfuzo Concert kwa kutaja nchi atakayo jielekeza ku shoot video ya wimbo wake uitwao Nkarira akishirikiana na Nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platium.

Aidha, Lolilo alitaja pia baada yakukamilisha video yake hiyo, itafuata video ya wimbo wake Urihe akishirikiana na Ommy Dimpoz wa Tanzania pia collabo yake na mwana mama Shebah wa Uganda.

Kuwa wa kwanza kumsikiliza Lolilo akifunguka hapa:

Hakuna maoni