Sport | Kiungo Mubango Tresor asaini mkutaba wa miaka miwili na AS Port
Kiungo wa timu ya taifa Burundi na wa Musongati ya mkoani Gitega,
amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na AS Port ya Djiboutie.
Mchezaji huyo alikuwa nchini Djiboutie mapema kwajili ya vipimo vya afya na baada ya kufaulu na kukamilisha utaratibu wote, Tresor Mubango amesaini mkataba wake mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya As Port.

As Port ilivutiwa na Mubango baada ya kumuona akiichezea timu ya taifa na Musongati, anakuwa mchezaji wa pili wa Musongati kujiuna msimu huu na As Port baada ya beki Dunia(Duny).
Post a Comment