Msanii wa muziki wa Buja fleva, Happy Famba (Mkali wa show) alikuwa miongoni mwa wasanii walidumbuiza kwenye show ya Boda To Boda pande za Lacosta Beach ambapo mgeni rasmi alikuwa ni T max wa Burundi akitokea Ubegiji na Nay wa Mitego wa Bongo Fleva.
Tazama hapa picha chache
Post a Comment