MISHE-BOY

Show | Hivi ndivyo Kngorongoro alifanya maajabu kwenye Utaipenda Concert

Rapa wa muziki wa Buja Fleva anaefanya vizuri na wimbo ''Ex Girlfreind'' aliyomshirikisha Barakah The Prince wa Bongo Fleva, Magic Soldier maarufu kama kingorongoro nayeye pia alikuwa miongoni mwa wasanii walidumbuiza kwenye show Utaipenda Concert ambayo mgeni rasmi alikuwa ni aslay kutoka Tanzania.

Tazama hapa picha chache za msanii huyu


Hakuna maoni