Show | Huu ndio muonekano mpya wa R Flow
Tazama muonekano mpya wa msanii wa muziki wa Buja Fleva, R Flow baada ya miaka kadhaa akiwa nje ya muziki, alitambulishwa kwa mara nyingine tena kwenye show Boda to Boda Concert pande za Lacosta Beach.
R Flow hakuwa katika orodha ya wasanii waliopangwa kuimba siku hiyo na alikuja kuhudhuria ndipo walichukuwa mda huwo kumuita kwenye stage kutambulishwa kwa wapenzi wa muziki baada ya siku nyingi haonekani kwenye game la muziki.
Mashabiki walionekana na furaha kubwa kumuona mkali wa ''Sheba, Wanoko, ...'', hata kama aliondoka bila kuwahidi chochote.
Tazama picha chache
Post a Comment