MISHE-BOY

Show | Hivi ndivyo T Max na Big Fizzo walivyo washa moto katika Boda To Boda Concert

wasanii wa muziki wa Buja Fleva ambao inaonekana ndio wasanii pekee waliobaki kwenye kundi nzima ya Wanajeshi, T Max na Big Fizzo waliweza ku pafom kwa pamoja baada ya miaka kadhaa.











Hakuna maoni