Msanii wa Bongo Fleva, Nay Wa Mitego alishangazwa na winhi wa watu katika tamasha yake nchini Burundi Agost 12, 2018 kweny ukumbi wa Lacosta Beach. Show iliandaliwa na msanii wa Buja Fleva T Max.
Post a Comment