Msanii Gaga Blue alizidi kuonesha uwezo wake kwenye steji katika tamasha iliondaliwa na management yake, U&I Agost 11, 2018.
Wasanii kibao walifanya poa zaidi bila shaka msanii wa kike mrembo Chany Queen licha ya ukimya kwenye muziki ila alionesha kama bado anatisha kwenye game ya muziki.
Post a Comment