MISHE-BOY

News | Natacha amjibu Christian Bella kwa kile alicho kisema kwenye Press Conferenc

Mwimbaji staa wa Burundi Fleva, Natacha maarufu kama LaBamba Natacha-Nomaa amekaa kwenye exclusive interview na Ismail dakika chache kwenye kituo cha radio Rema FM.

Natacha alizungmza mengi zaidi kuhusikana na kazi zake, tunamzowea sana La Namba kama msanii mpole sana hapendi kuongelea maisha yake binafsi wala kumzungumzia msanii mwingine popote pale. Leo kama mshangao ivo ameamua kujibu kauli ya Christian Bella alicho kisema kwamba wasanii wa Burundi hawaeshimu media zao kwa sababu wawili hawo (Natacha na Fizzo) hawakujitokeza kwenye maojiano na waandishi wa habari.

Christian Bella aliwaomba wasanii wa Burundi wabadilike, mwana mama Natacha alichukua fursa hiyo kumjibu msanii wa Bongo fleva, Christian Bella na kusema,

"alicho kisema Christian Bella sio ukweli, tunaeshimu sana media na tunaweza sana kuimba na mpaka sasa naendelea kuipeleka muziki wa Buja Fleva mbali zaidi, tunasifika kwa live music. sipendelei kumzungumzia msanii na kumtaja jina ila inanibidi kufanya ivo. press conferenc ilikuwa ni ya Bella na Snura sio lazma sisi tuwepo hapo.Ata Jaguar pindi alikuja kufanya show hapa, alifanya press conferenc pekee yake. kwanza alisema kwamba hakuna msanii kafanya show bure wakati mimi (Natacha) mpaka sasa sijalipwa ata kumi ila tulifanya show ya kikubwa mpaka watu walikubali kama warundi tunaweza sana tena zaidi".

Hakuna maoni