Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, R Flow baada ya mda mrefu akiwa nje ya muziki, amua kurudi na kuachia wimbo wake mpya uitwao Tel Me Why. Kama na wewe ni msanii una audio au video, unapendelea ipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
Post a Comment