Sport | Wachezaji 25 wa timu ya Taifa Burundi U20 kwa kuandaa mchezo dhidi ya Sudani
Kocha mkuu wa timu ya taifa Intamba Murugamba (U20), Joslin Bipfubusa ametangaza wachezaji 25 watakaunda kikosi hicho kwa kuandaa mechi dhidi ya Sudani U20, mechi ambayo imepangwa Jumamossi Mei 12, 2018.
Tuwakumbushe kuwa timu itakayoshinda michezo miwili ya hatua hii itapata fursa ya kucheza mchezo umoja na ikishinda mchezo huwo basi itapata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Afrika (Can U20) nchini Niger.
Haya hapa majina 25 ya kikosi cha Intamba Murugamba U20 :
1.RUKUNDO Onesime (MESSAGER NGOZI)
2.KITENGE Ally Tonton (BUJA CITY)
3.NDUWIMANA Hailé Shalom (NGOZI CITY)
4.SELEMAN Moustafa( AIGLE NOIR SC)
5.MURYANGO Moussa(VITAL'O FC)
6.NDORIYOBIJA Eric (LLB S4A)
7.HAKIZIMANA Héritier (AIGLE NOIR SC)
8.NDIZEYE Eric (MUSONGATI FC)
9.BIGIRIMANA Ramadhan(AIGLE NOIR SC)
10.KAMANA Ismaïl (AIGLE NOIR SC)
11.NDAYE Chancel (LLB S4A)
12.IRADUKUNDA Parfait ( MUSONGATI FC)
13.MBIRIZI Éric(BUJA CITY)
14.MURYANGO Mabano(AIGLE NOIR SC)
15.EZA Armel( NGOZI CITY)
16.NSHIMIRIMANA Jospin (DELTA STAR)
17.NSENGIYUMVA Rahim (MESSAGER NGOZI)
18.DJUMA Muhamedi ( MUSONGATI FC )
19.KWIZERA Eric( LES LIERRES FC)
20.KANAKIMANA Bienvenue (AIGLE NOIR SC)
21.RAMADHAN Pascal ( OLYMPIC STAR)
22.SHAKA Bienvenue (AIGLE NOIR SC)
23.ULIMWENGU Jules( LLB S4A)
24.MAVUGO Cédric titi ( AIGLE NOIR SC)
25.NDIKUMANA Magloire (OLYMPIC STAR).
Post a Comment