MISHE-BOY

News | Je Kirikou anarap kama Dogo Janja wa Bongo Fleva ?| Download Mp4

Ukiwa na ukaribu na mashabiki wa muziki unaweza kutambuwa mambo mengi inayozunzumziwa, wengi uongea kwa kuonesha ushabiki ila kuna baadhi waongea kile ambacho washuhudia kwenye show mbali mbali  hata maisha halisi za wasanii wa Buja Fleva.

Nianaimani tayari umekwisha sikiliza baadhi za nyimbo za msanii wa Bongo fleva, Dogo Janja na ninaimani kabla hajabadili mtindo wake wa kuimba Dogo Janja alikua anarapa mpaka watu wanakubali.

Kipindi iki mashabiki wa muziki wa BujaFleva tayari wameanza kumfananisha msanii wa Lebel ya Bantou Boy, Kirikou na kusema kwamba anarap  kama Dogo Janja.

Je ni Ukweli Kirikou anachana kama Dogo Janja? Tazama hapa

Hakuna maoni