MISHE-BOY

Sport | Program ya raundi ya pili ya makundi ya Ligi ya Mabingwa

Ligi ya mabingwa wiki ya pili ya hatua ya makundi itachezwa jumanne na Jumatano, pambano kali itaikumbanisha Difaa el Jadidi ikiipokea TP Mazembe huko Morocco.

Program :

Jumanne, Mei 15:
kundi A: Kampala City (Uganda) - Al Ahly (Misri)
kundi D: Mbabane Swallows (Swaziland) - Primeiro de Agosto (Angola)
kundi B: Difaa El Jadidi (Morocco) - TP Mazembe (DR Congo)
kundi A: Esperance Tunis (Tunisia) - Rollers Township (Botswana)
kundi B: ES Setif (Algeria) - MC Alger (Algeria)
kundi C: Wydad Casablanca (Morocco) - AS Togo-Port (Togo)

Jumatano, Mei 16:
kundi D: Etoile du Sahel (Tunisia) - Zesco United (Zambia)

Hakuna maoni