Sport | Program ya raundi ya pili ya Kombe la CAF
Michezo ya raundi pili ya makundi ya Kombe La CAF itachezwa Jumatano huku pambano kubwa inayosubiriwa na wengi ni kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda pamoja na AS Vita Club dhidi ya ASEC Mimosas.
Program:
kundi A: Aduana Stars (Ghana) - Raja Casablanca (Morocco)
kundi A: AS Vita Club (DR Congo) - ASEC Mimosas (Yvory Cost)
kundi C: CARA Brazzaville (Congo) - Enyimba (Nigeria)
kundi B: Songo UD (Msumbiji) - RS Berkane (Morocco)
kundi D: Gor Mahia (Kenya) - USM Algiers (Algeria)
kundi D: Yanga Afrika (Tanzania) - Rayon Sport (Rwanda)
kundi B: Al Hilal (Sudan) - El Masry (Misri)
kundi C: Djoliba (Mali) - WAC (Ivory Coast)

Post a Comment