MISHE-BOY

Sport | Orodha ya wachezaji 23 ya Brazil , Neymar na Coutinho ndani

Kocha wa brazil, Tite ametangaza  yake ya wachezaji 23 ambao wana jukumu kubwa kwa kuwakilisha Brazil katika kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kama nilivyo wa taarifu kwa ajili ya beki wa kulia wa PSG, Dany Alves baada ya kupata jeraha kwenye goti lake la kulia itakayo mpelekea kuwa nje ya uwanza wiki 6, kocha huyu aliamua kumtenga Alves kwenye orodha hiyi.

Licha ya kuwa nna mashaka ya kumkosa Neymar kwenye Kombe la Dunia, kocha mkuu wa Brazil ameondoa shaka hiyo miongoni mwa wa penzi wa Brazil kwa kuweka wazi uwezekano wa kuona nyota wa Brazil kwnye michuano hiyi.

Hii ndio Orodha ya wachezaji 23 wa Brazil

- Makipa: Alisson (Roma, ITA), Ederson (Manchester City, ENG), Ramos Cassio (Corinthias, BRE)

- Mabeki : Danilo (Manchester City, ENG), Fagner (Wakorintho, BRA), Marcelo (Real Madrid, ESP), Filipe Luis (Atletico Madrid, ESP), Thiago Silva (PSG FRA) Marquinhos (PSG FRA) Miranda (Inter, ITA) Geromel (Gremio, BRA)

- Viungo : Casemiro (Real Madrid, ESP), Paulinho (Barcelona, ​​ESP), Renato Augusto (Beijing Guoan, CHI), Philippe Coutinho (Barcelona, ​​ESP), Fernandinho (Manchester City, ENG), Fred (Shakhtar UKR ), Willian (Chelsea, ANG)

- Washambuliaji: Taison (Shakhtar UKR), Neymar (PSG, FRA), Gabriel Yesu (Manchester City, ENG), Roberto Firmino (Liverpool, ENG), Douglas Costa (Juventus ITA) .

Hakuna maoni