MISHE-BOY

Sport | Burundi imefanikisha kuandaa michuano ya Afrika ya Judo

Kuanzia tarehe 10 hadi 13 Mei 2018, mji mkuu wa Burundi ulihudhuria michuano ya Afrika ya Judo katika makundi ya cadets na Juniors huku michuano hiyi ikidumu siku nne ya ushindani.

Burundi imeandaa michuano hiyi vizuri kwa upande wa mapangilio imerekebishwa vizuri na pia jengo kubwa iliraisisha kupokea michuano hiyi ya ngazi ya kitaifa.

Jinsi walivyoshindana kwa mtu binafsi (Cadet):


1. Algeria: dhahabu 6, fedha 3 na medali 5 za shaba.
2. Moroko: medali za dhahabu 3, fedha 1 na 1 ya shaba.
3. Misri: 2 ya dhahabu, 3 ya fedha na 8 ya  shaba.
4. Burundi: 1 ya dhahabu, 3 ya fedha na 3 ya shaba.
5. Madagascar: Medali ya dhahabu 1 na medali 3 za shaba.
6. Tunisia: medali ya dhahabu 1.
7. Zambia: medali ya dhahabu 1.
8. Afrika Kusini: medali 3 ya fedha  na medali 2 za shaba.
9. Gabon: medali ya  fedha 1 na medali ya shaba 1.
10. Zimbabwe: medali ya fedha 1
11. Ivory Coast: 1 medali ya shaba.
12. DRC: medali ya shaba 1.

Jinsi walivyoshindana kwa mtu  binafsi (Junior)

1. Algeria: dhahabu 8, fedha 5 na medali 1 ya shaba.
2. Tunisia:  dhahabu 4 na medali 1 ya shaba.
3. Misri: dhahabu 2, fedha 7 na medali nne za shaba.
4. Moroko: dhahabu 1, fedha 1 na medali mbili za shaba.
5. Senegal: dhahabu 1, fedha 1 na medali ya shaba 1.
6. Msumbiji: medali ya fedha 1.
7. Zimbabwe: medali ya fedha 1.
8. Afrika Kusini: medali 3 za shaba.
9. Burundi: medali mbili za shaba.
10. Ivory Coast: medali 2 za shaba.
11. Gabon: 1 medali ya shaba.

Mashindano ya timu (Cadet)

1. Misri.
2. Algeria.
3. Burundi.
4. Gabon.
5. Afrika Kusini.
6. Madagascar.

Mashindano ya timu (Junior)

1. Algeria.
2. Misri.
3. Afrika Kusini.
4. Senegal.
5. Burundi.
6. Gabon.

Tuwakumbushe kwamba nchi kama Gambia, Kenya, Djibouti na Mali hawakuweza kushinda medali hata moja katika  wa michuano hii.

Hakuna maoni