MISHE-BOY

Bien Freema akiri kama alimkosea Big Fizzo na anataka kuimba naye | Audio

Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, Bien Freema alikiri kuwa aliwai kumkasirisha Big Fizzo ila kwa kuonesha ishara ya Fair play anatarajia kuimba naye wimbo kwa kumaliza malumbano kati yao wawili.

Bien Freema alifunguka mbele ya mic ya muandishi wa Tangaza Media Mishe pale alipoulizwa ni msanii gani wa Burundi anapendelea kufanya naye collabo ya nguvu zaidi.

Ebu msikilize hapa Bien Freema :


Hakuna maoni