MISHE-BOY

Interview | Natacha ndie kalipia gharama yote ya video La namba ya A Flow Slim

Msanii wa Muziki wa Burundi Fleva, A Flow Slim amuweka wazi aliyemsaidia kukamilisha video ya wimbo wake ''la Namba'' na kumshkuru mwanamuziki wa kike Natacha kwa kugharimu kila kilichoitajika kwa video yake hiyo A Flow asema kuwa Mwanamuziki wa kike Natacha maarufu kama LaNamba la Bamba ndie katoa milioni tano pesa za marundi kwa kukamilisha video yake hiyo ambayo ilibeba jina la mwanamama huyo ''LaNamba''.

Ebu msikilize kwa urefu zaidi na akiongelea kazi yake yote hapa.

kama na wewe ni msanii una audio, video au unapendelea interview on line (NickoJuniorBmusic) na habari unapenda zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Hakuna maoni