Interview | A flow Slim : penzi langu kwa Natacha linazidi maelezo, ...| Download Mp4
Msanii wa muziki wa Buja Fleva, A Flow Slim anayetamba na wimbo wake ''La Namba'', ambayo inasemakana wimbo huu ni moja ya njia ya kumtumia ujumbe mwanamama Natacha kwajina maarufu nchini La Namba.
A Flow alifunguka zaidi katika mahojiano na NickoJunior Buja Music kuhusu wimbo wake aliyoipa jina la Namba na kusema anampenda sana mwanamama huyo kupita maelezo kwa sababu anamapenzi ya dhati kwake na ndio sababu ya yeye kutunga wimbo huwo.
Ebu Sikiliza hapa alivyochonga A Flow Slim
, kama na wewe ni msanii una audio, video au unapendelea interview on line (NickoJuniorBmusic) na habari unapenda zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Post a Comment