MISHE-BOY

Sport | Uingereza itashinda Kombe La Dunia 2018 kwa bahati ya ...

Tunakubaliana kama Pep Guardiola ni mmoja wa makocha bora duniani! kwasababu amechukua kombe 23 katika misimu 10 wakati akiwa kocha mkuu wa Barcelona, Bayern Munich na Manchester City.

Wakati huu Pep anaweza kutuma Uingereza kushinda Kombe La Dunia 2018!

labda unamaswali mengi na moja ikiwemo ni Je hii inaweza kutokea?

Sasa funga mikanda yako nikuweke sawa

Mwaka 2010, Pep Guardiola alishinda La Liga na FC Barcelona na wiki chache baadaye, Hispania ilishinda Kombe La Dunia 2010.

Miaka minne baadae, Pepe Guardiola alishinda Bundesliga akiwa na kikosi cha Bayern Munich basi na Ujerumani ikashinda Kombe la Dunia nchini Brazil.

Mwaka 2018, Pep Guardiola ameshinda Primier League na Uingereza inaweza kuchukua Kombe la Dunia2018.

Tusubiri Tuone,...




Hakuna maoni