MISHE-BOY

Sport | Tazama picha ya Kombe la FITA ilivyofanyika

FITA ( Fundi International Talent Academic) imeandaa fainali ya timu za academic ( Aigle Noire, Pepiniere na Fita FC) kwa mara ya kwanza nchini Burundi.

Kiongozi wa FITA, Caleb Fundi ameandaa mashindano hiyo kwa watoto wadogo wanao cheza soka kwenye Academic nchini Burundi kwa niya ya kukuza soka nchini.
Ukishuhudia mipango ya FITA ni kufufua vipaji vya wachezaji bado wakiwa na umri mdogo ili miaka za mbele waje kuonesha kiwango kizuri kwenye timu ya taifa.

Tazama picha na maelezo kamili :

fainali ilikumbanisha timu ya pepiniere dhidi Fita FC 

Wazee waheshima walikuwepo pia, Andrew Geddes kutoka Ujerumani, nahimana Issa Nene, ...


Timu ya Pepinier imeibuka mshindi wa FITA Academic huku FITA Fc ikachukua nafasi ya pili na Aigle Noire ya tatu.


Ilikuwa mda wakutoa zawadi kwa washindi








Baadae imekuwa ni fursa kwa wa kocha kupewa Certificat












Wamechukua mda wa kupiga picha kwa pamoja






mwishowe imekua ni mda ya watangazaji kuweza kuuliza maswali mbali mbali









Hakuna maoni