News | Itambuwe Kundi la muziki Static Noize na kazi zake hapa
Kundi la muziki ya Buja fleva, Static Noize ni moja ya kundi inazidi kufanya vizuri nchini Burundi ila ni kundi yenye makazi yao ya kudumu nchini Australia.
Kundi hiyi inaundwa na vijana wawili ambao ni Trilla na Siri Kidd wote wakiwa na umri wa miaka 18, vijana hawa wapo chini ya usimamizi wa Buja Music Entetainemet (BME) ambapo ipo chini ya Eddie J. Khalikawe.
shuhudia moja ya kzi yao hapa chini :
Post a Comment