MISHE-BOY

Sport | Huyu ndie mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FITA

Ngoyi Selemani maarafu kama Senga Senga kijan mdogo mwenye umri wa miaka 14, amechaguliwa  kuwa mchezaji Bora ya FITA Academic iliyoandaliwa na Caleb Fundi kiongozi wa Fundi International Talent Academic.

Nyota wa Aigle Noire alichukua tuzo hiyo na fura licha ya timu yake kuchukua nafsi ya tatu hata hivo alisema,

'' ninafuraha sana kupata tuzo hii nikiwa bado mdogo na inanipa nguvu ya kuweza kuongeza bidii na kuipenda mpira kama kazi yangu''.

''Huwa ni hisia ya kipekee unaposhinda kitu, unahisi ulikuwa na siku nzuri sana na hii ni moja ya siku yangu nzuri sana sijuwi nyumbani watasemaje kwasababu naanza kuona umuhimu wa mpira pale unapo fanya vizuri na hii tuzo ni zawadia kwa Aigle Noire nzima, kwa hivyo nina furaha sana, ningependa mwaka ujao tena nishinde'', aliambia Mishe Mishe Sport.

Hakuna maoni