MISHE-BOY

Primus Ligue:matokeo na ratiba kamili ya Mechi kwa mzunguuko wa 18

Ligi kuu ya Primus League inaendelea kwa kishindo wiki hii ya 18.  Klabu ya Académie Tchité inazidi kupoteza uku ikiwa kwenye na fasi ya mwisho kwenye orodha ya ligii kuu. kwenye wiki hii imepoteza tena kwa kucharazwa vibaya na klabu ya Messenger Ngozi kwa bao 6 bila jibu. Pambano nyingine imekua ya kusisimua sana ni mechi kati Flambeau de l'Est dhidi ya  LLB Sports4Africa, na wakarizika kutoka sare ya bao 1-1.
hii ndio ratiba kamili ukumbuke kwamba hapo kesho tarehe 25 kuna mechi mbili zitacheza ili ku kamilisha wiki ya 18.

Tarehe  24 Januari 2015

14h00:Académie Tchité 0-6 Messager Ngozi

15h00:Volontaires 0-2 Vital'o

15h00:Nyanza United 1-2 Inter Stars

15h00:Flambeau de l'Est 1-1 LLB Sports4Africa

16h00:Athletico Olympic 2-0 Prince Louis



Tarehe  25 Januari 2015

14h00:Messager Bujumbura-Royal FC

15h00:Olympic Star-Rusizi FC

16h00:Bujumbura City-Muzinga

Hakuna maoni