MISHE-BOY

matokeo kamili ya wiki ya 18 ya ligi kuu Primus league na msimamo kamili za ma klabu

ligi Kuu ya Primus League inazidi kuendelea kwa uppinzani mkubwa sana na ivi inaingia kwenye wiki yake ya 18. baada ya klabu ya Vitalo ku cheza na kupata ushindi ugenini dhidi ya Volontaires (0-2), inazidi kuongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Primus League. Vitalo ni ya kwanza uku akifatiliwa kwa karibu sana na klabu ya LL S4A na pia Atletico wote wanazidi kufanya kila uwezekanao ilimradi tu wapata na fasi ya kwanza ambao inazidi kushikiliwa na Vitalo kutoka Bujumbura. klabu karibu 4 ndio ziko kwenye arakati ya kutafuta na fasi ya kwanza na zote ni klabu za Bujumbura. klabu ya Tchite Academic inazidi kuwa mashakani ya kuteremka daraja uku ikiwa ya mwisho na pointi 4 tu na aija funga ata timu moja zaidi ya kugawa.

matokeo kamili ya wiki hii ya 18 ni:

tarehe  24 Januari 2015

14h00:Académie Tchité 0-6 Messager Ngozi

15h00:Volontaires 0-2 Vital'o

15h00:Nyanza United 1-2 Inter Stars

15h00:Flambeau de l'Est 1-1 LLB Sports4Africa

16h00:Athletico Olympic 2-0 Prince Louis


Tarehe  25 Januari 2015

14h00:Messager 0-1 Bujumbura-Royal FC

15h00:Olympic0-0 Star-Rusizi FC

16h00:Bujumbura City0-1Muzinga


hivi ndivyo klabu zinavyo zidiana
                                                                                                                                                       pt
1 VITAL’O 29 41
2 LL S4A 25 37
3 ATHLETICO 10 35
4 INTER 12 33
5 MESSAGER NGOZI 11 29
6 MESSAGER BJM 4 26
7 MUZINGA 2 26
8 FLAMBEAU 6 25
9 RUSIZI FC -1 23
10 BUJUMBURA CITY -3 23
11 OLYMPIC STAR 1 22
12 VOLONTAIRE -8 22
13 ROYAL -6 19
14 NYANZA UNITED -12 17
15 PRINCE LOUIS -15 16
16 TCHITE -55 4

Hakuna maoni