Yule mzee wa Assalam Alekoum ivi anatajia kuachia kitu kikali tena
Yule msanii ambae anazidi kuondoka na mtindo wa Hip Hop nchini Burundi, Taylo-Six. kwa mjibu wa habari imetufaamisha kuwa msanii Taylo-Six anajiandaa vilivyo ili kuakikisha mwaka huu wa 2015 amewafurahisha mashabiki wake na kuwa miongoni mwa wale ambao wanaojiita wakali.
baada ya kutowa nyimbo mwanzo wa mwaka huu ameachia nyimbo kali sana na imekuja na mvuto fulani na ikampelekea azidi kupendwa zaidi kwenye ulimwengu wa muziki.
Tulipo fika kwenye Studio Banlieu10 Record chini ya mkono wake pekee yake Taylo-Six kwamaana ni mmoja kati ya ma Dj wanao tumika hapo kwenye Studio Banlieu10 Record.
Mambo imekuwa kama ifwatavyo:
BurundiFleva: Vipi Hali yako?
Taylo-Six: safi sana mkubwa
BurundiFleva: naona nilipo ingia hapa kwenye Studio ulikua unafoka foka kunanini?
Taylo-Six: hahahahahahaha wapi sio kufoka nilikua naimba
BurundiFleva: dah acha ivo yaani nimefikiri uko unakorofishana na mtu ivo, aya bro niambie ni nyimbo gani tena?
Taylo-Six: yap ni song mpya kabisa ambao nazidi kutia sauti
BurundiFleva: baada ya kuachia nyimbo yako Assalam Alekoum; je umepata mafanikio?
Taylo-Six: yap kiukweli namshkuru Mungu sikuwa nategemea kama kweli nitaweza kupiga hatua kubwa
kama nilio ipata.
BurundiFleva: na kwa sasa unaanda kitu kipya, unahisi inaweza kukuweka nafasi panzuri zaidi?
Taylo-six: yap mi kila mara nikifanya kitu uwa kwanza najiamini na baadae mashabiki wangu wanafarijika zaidi.
BurundiFleva: ukilinganisha nyimbo ya mpya iyo na Assalam Alekoum unaona unaweza kuwa miongoni mwa wale wa kali?
Taylo-six: miongoni mwao mi nimo ila tu unajua tena jina ndio inatajwa mara kidogo sana ila kwasasa nafanya kila iwezekanavyo ili mashabiki wangu na wapenzi wote wa hip hop wanikubali.
BurundiFleva: nyimbo itakuja kwa jina gani na mtindo gani utakao utumiya?
Taylo-six: yap nyimbo inakuja kwajina la Money na mtindo wangu kila mtu anajua ni Style ya Rap Pamoja Na R&B.
BurundiFleva: yap unatarajia kuiachia siku gani?
Taylo-Six: siku bado ila unajua kila kitu nikujipanga nawaomba watu wote wanaonipenda na wengine wanao nisikia ni kwamba na kuja na kitu kipya wataipenda sana wakae tu mkao wakusubiri kitu kitamu kutoka kwa Taylo-Six brah?
BurundiFleva: ok tunakushkuru sana kwa kutupa machache ambao itakua mafanikio kwako na kwa taifa nzima.
Taylo-Six: nami pia nashkuru sana kwa kutujali sisi wasani ambao tunataka kutoka ili tuitangaze bendera yetu ya Burundi Flava.
mambo imekua kama unavyo soma hapo na kwakweli nyimboMoney itakua nzuri sana kwa gisi nilivyo sikia kapela inajaa mashahiri mazuri sana ya kujenga.

Post a Comment