MISHE-BOY

nyimbo mpya yake msanii Keezo uku akishirikiana na mwanadada germaine



msanii wa kizazi kipya ambaye anajulikana kwa jina la Mpawentayo Ildephonse kwa jina la kisanii Kezzo. baada ya kutowa track yake ya kwanza ambao imekuja kwa jina la Ukilala kwa mtindo wa R&B, kwasasa amebadilika sana na amejitupa kwenye ulimwengu wa Hip Hop na amebadili kwa sasa aimbi nyimbo za kidunia anaimba nyimbo za kumsifu Mungu (gospel). ni hapo tarehe 30/01/2015 ndio ameachia kazi yake ya pili uku akishirikiana na mwanadada Germaine ambae ameleta utamu kwenye track iyo na ikaja na kuitwa Uniongoze Yesu, nyimbo iyo imetegenezwa kwenye studio ijulikanao kama Maibobo Record. kwa sasa msanii Kezzo ameambia blogger yetu hii kwamba anakuja kwa kasi ili kuinua musziki wa gospel kwenye mtindo wa Hip hop ambao imeonekana kuzimika baada ya msanii Prince Mshindi kutojitokeza sana kwa miaka mbili hii. kijana Kezzo ni kijana mdogo ila kipaji chake ni kikubwa zaidi.


bonyeza hapa kwa kuisikia nyimbo hii na unaweza kuigawa kwa ma fanz wako ao ukaichukuwa ikawa mali yako kwenye simu yako ao computer.
Uniongoze yesu by Kezzo Ildephonse ft Germaine

Hakuna maoni