Ebu sikiliza nyimbo nzuri sana yake Jay-T akiwa pamoja na R-Flow
Msanii Juma Toty kwa jina maarufu kama Jay-T Sharo, ni msanii chipukizi ila mambo yake ni makubwa sana. baada yakutowa track kazaa kama mbili ivi kwa sasa amekuja na kutamba na nyimbo yake mpya kabisa na amefanya kila iwezekano na kila njia ilimradi tu afanye kolabo na msanii mkubwa sana wa hapa Bujumbura. kwa mjibu wa habari imesema kwamba Msanii Jay-t amekuwa anataka nyimbo hii ambao inakuja kwa jina la Lydia, ametaka ashirikiane na msanii Lolilo ila mambo aikuwezekana na kwa bahati nzuri sana amemfikia tu msanii mkali wa sauti hapa Burundi ambaye ni R-Flow na msanii uyu akasikia kipaji cha kijana uyo akusita kufanza naye kazi.
Nyimbo inaitwa Lydia uku sauti nzuri ya msanii R-flow ikipiga korasi na kijana Jay-t akishuka na vesi nzuri uku nyimbo inakuja imejaa maneno matamu ya kimapenzi.
tumeojiana na Msanii jay-t ametufaamisha kuwa kwa sasa ameachia nyimbo yake iyo na anaimani ya kwamba song yake ambae amefanya na R-Flow itakuja kumuweka na fasi pazuri sana ukilinganisha na awali. kuusu video clip ya nyimbo iyo ametuweka wazi kwamba iko tayari na siku chache tu itakuwa ewani kwenye runinga zote za hapa Burundi bila kusahau lazima itapitia hapa kwenye blogger yenu ya Burundifleva.
bonyeza tu hapa kwa kuisikia na ukitaka unaichukuwa uku ukiisikiliza na familia yako itakuwa bora zaidi:
LIDYA BY JAY-T FT R-FLOW

Post a Comment