MISHE-BOY

mchezo wa golf nchini Burundi nikama imepuuzwa


ni mchezo ambao wengi sana hapa nchini Burundi awaipi nafasi kubwa sana kwenye baadhi ya ma redio ata kwenye mitandao. kwa kupitapita tumeweza kuonana na nahodha wa timu ya taifa ya Golf Burundi, nohadha anajlikana kwa jina la Nahimana Kudra, amekua na mengi yakufaamisha mtandao wetu wa BurundiNewz.
neno ambao ameanza kusema ni '' maisha ya Golf nchini Burundi kiukweli tuko nyuma sana ukilinganisha na nchi zingine za Afrika''
 tuwakumbushe kuwa Timu ya Taifa ya Golf inaanda michuano ya Easter Afrika Chalenge ambao itadhuru nchini Rwanda. Nahimana anazidi kujitaidi sana ilimradi tu Burundi iwakilishe vizuri na wachezaji wazuri.
wachezaji ni wengi sana wanao jituma na wana amu kubwa ya kuakilisha bendera ya Burundi vizuri kwa mchezo wa Golf.
Burundi Newz: Asww vipi hali yako Kudra?
Nahimana Kudra: www safi tu niko poa nawe umeona gisi ninavyo jisuluisha na mambo ya kujiandaa vizuri.
BurundiNewz: ok nimeona kabisa, sasa tupe kwanza mambo matatu ata mawili, ivi unajiandaaje na wachezaji wengi ivi?
N. Kudra: yah nimeamua kujituma na pia niko nahodha pia niko kama kocha musaidizi.
BurundiNewz: naona nikazi kubwa unayo, sasa unaonaje na vijana wako?
N. Kudra:  yah hii mchezo nimeanza ningali mdogo sana mpaka sasa nimekuwa mtu zima na inakua kama desturi kiufupi nimezoweya.
BurrundiNewz: naona munaanda kushiriki kwenye kombe la Easter Afrika Chalenge, unaonaje mipangilio na mashabiki pia wadhamini wapo?
N. Kudra:  kwa upande wa sponsa naona wametudhamini mwaka wa 2014 na wametufurahisha sana na maandalizi ya huu mwaka watakua nasi bega kwa bega, upande wamashabiki atuwezi kuwapa pongezi sana ila tutaona gisi wataweza kutushabikia huu mwaka.
BurundiNewz: na upande wa serikali pia na media kama redio unaomba iwasadie nini?
N. Kudra: kwa upande wa serikali tunaweza kuomba nivitambulisho uwa tunasumbuliwa sana tukiwa safarini. na upande wa ma redio nikama awatufatilii sana hapa nchini wametusahau sana ila nashkuru sana radio BBC inazidi kutufatilia sana na kutuweka ewani.
kweli maandalizi ya Timu ya taifa ya Golf Burundi inazidi kufurahisha na ya kuridhisha sana,. nahodha wa Timu ya Taifa amesisitiza na kupenda kuona wachezaji ambao wanao taka kujiunga na klabu ya Golf wanawapokea kwa amani na upendo. na yoyote atakae penda kufundishwa atafundishwa ilimradi tu wazidi ku kuza vipaji nchini Burundi.

Hakuna maoni