MISHE-BOY

tizama wachezaji wa Intamba Murugamba walio itwa na wameanza mazowezi

baada ya kusherekea sikuku ya noeli na mwaka mpya, wachezaji wa Intamba Murugamba wamekua likizoni na Ligi kuu ya Primus Ligi mzunguuko wa kwanza imemalizika , ifikapo tarehe 17/12/2015 ndio ligii kuu itaanza kwa kishindo kwa mzunguuko wa pili ao wamarudilio( phase retour). kwa kalenda iyo imeipa nafasi kubwa timu ya taifa Intamba Murugamba kwa wachezaji wasio zidi miaka 23 waweze kujiandaa vizuri na mda murefu zaidi. kamati nzima ya mpira wa miguu  nchini Burundi pamoja na ma kocha wa tatu wa timu ya taifa ambao ni KAZE Cedric, NDIZEYE Jimmy na AMIDOU Hassan, wameteua wachezaji 27 ambao wataanza mazowezi tarehe 5/12/2015 kwenye uwanja mkuu wa Mwana Mfalme Prince Louis Rwagasore. baadhi ya wachezaji hawo kama wa 8 ivi watakua wanafanya mazowezi ila wamezidisha umri wa miaka 23, watakua wanajiandaa kwa mechi ya mtowano kwa kushiriki kombe ya Can 2017.
wachezaji wameombwa kufika mapema sana siku ya kwanza ya mazowezi hapo tarehe 05/01/2015 saa tatu asubuhi.
wachezaji ni hawa hapa:
goli kipa:
1. ARAKAZA Mc Arthur / Vital'o Fc
2. AMISSI Kandolo / Athletico Olympic
3. MBONIHANKUYE Innocent Madede / LL s4a
4. NDAYISHIMIYE Hussein / Messager Bujumbura

 
walinzi  (Defenseurs centraux):
5. NGANDO Omar / Muzinga Fc
6. NSHIMIRIMANA David Shukuru / Vital'o Fc
7. MUHUZA Patient Zokora / Athletico Olympic
8. UWAYEZU Nice Francky / Messager
9. HAKIZIMANA Issa Vidic

 
wachezaji wa pembeni ( Lateraux ):
10. KIZA Fataki / LL s4a
11. HARERIMANA Rachid Leon / LL s4a
12. NIYONKURU Nassor / Athletico Olympic

 
wachezaji wa katikati ( Milieux):
13. NDIKUMANA Yussuf Lule / LL s4a
14. MVUYEKURE Emmanuel / LL s4a
15. MUBANGO Tresor / Athletico Olympic
16. NDUWARUGIRA Christophe Lucio / Chibuto - Mozambique
17. AKIMANA Tresor / Athletico olympic
18. Idi Saidi Juma Ballack / LL s4a
19. NSHIMIRIMANA Abassi / Bujumbura City
20. Francis Ndjali / Muzinga
21. NAHIMANA Shassir / Vital'o Fc
22. NININAHAZWE Fabrice Messi / LL s4a
23. Idi MUSELEMU / Messager Ngozi
24. NIREMA Yves / Inter star

 Washambuliaji ( Attaquants ) :
25. Laudit MAVUGO / Vital'o Fc
26. Fiston Abdul-Razzak / Sofapaka - Kenya
27. HAKIZIMANA Hassan/ Inter star 


Wachezaji ambao watajiunga na hao hapo juu ila upande wa hawa hapa chini wanazidisha umri wa miaka 23 na watapewa nafasi ya kujiandaa vizuri kwakugombania tiketi ya kushiriki kombe la Can 2017.
  
Omar BIHA / Vital'o Fc 
RUGUMANDIYE Yvan / Muzinga 
 Styve NZIGAMASABO / Vital'o Fc 
KAZE Gilbert / Vital'o Fc 
NDARUSANZE Claude / LL s4a 
DUHAYINDAVYI Gael / LL s4a 
Cedric Amissi / Chibuto- Mozambique 
NIMUBONA Emery Kadogo / -

Hakuna maoni