Tambwe Amissi asaini mkataba na yanga
Mushambuliaji hatari sana wa Simba kutoka Tanzania pia mchezaji wa zamani wa Vital'o Fc, Amissi Tambwe, amesaini mkataba na klbau ya Yanga kutoka Tanzania, Jumatatu katika dakika za mwisho za usajili wa Ligi Kuu Bara. mshambuliaji Amissi uku akiwa namba 9 wa timu ya taifa Intamba Murugamba, amekuwa kwenye hali mbaya katika klabu yake ya Simba kwasababu amekuwa kwenye orodha ya wachezaji wanao pangwa kutiliwa kando na kufukuzwa pia.
Yanga imefanya kila iwezekanayo ili iweze kufika kwenye makubaliano na straika aliyeachwa na Simba, Amissi Tambwe.Tambwe aliyekuwa mfungaji bora msimu uliopita alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga.
simba ilikua aimtaki tena Tambwe kwa madai kuwa mchezaji kiwango chake kimepungua kiasi kikubwa sana, klabu ya vital'o kutoka Bujumbura ndio ilikua tayari kuweza kumpokeya ila gafla tu Yanga Jumatatu katika dakika za mwisho za usajili wa Ligi Kuu Bara.
Post a Comment