msanii Mkombozi afya yake sio ya kuridhisha
Msanii Nzeyimana Thomas al maarufu kama Mkombozi, ambae anapenda kuondoka na mtindo wa Hip Hop ao ukipenda umwite mzee wa Zawadi ya Mwaka. kwa habari ambazo zimeharithiwa kuwa siku chache Mkombozi amepokea simu uku namba azifahamu. Namba izo zimeleta utata sana na kumuweka msanii kwenye hali ya wasiwasi uku simu iyo inayo muita kila saa upande wa ma saa nne ya usiku na ikizungumza lugha ya kifaransa, maneno ambao imekuwa inazungumza ni ''Je connais le problème des musiciens Burundais''.
maneno hayo imekuwa inajirudi maara kazaa tu pindi msanii Mkombozi akiitika simu. wengi wameisi kama ni Jini na wengine eti ni Freemason.
Baada ya siku kazaa mambo ya simu imekwisha baadae msanii Mkombozi amejisikia vibaya sana uku akiwaomba ndugu zake wamuache apumzike kidogo baada tu kila mda unavyo kwenda ndivyo hali ya afya ya Mkombozi inazidi kuwa vibaya uku akitapiaka sana, ndugu na jamaa pia na manager wake wakaamua kumpeleka msanii Hospitalini ndio daktari akathibitisha kwamba msanii amepewa sumu.
kwa sasa hali ya Msanii inazidi kuwa vibaya kwa mjibu wa mtu wa karibu wa Msanii Mkombozi, na inayo leta mashaka nakuonesha kama msanii eko kwnye hali mbaya ni maneno ambao ameweza kuandika kwenye ukurasa wake Wa Facebook maneno haya:
Munsengere kuko aho indwara ingejeje n ahongeze sindahizeye.mniombee maana nilipofikishwa na magonjwa pananikatisha tamaa.

Post a Comment