MISHE-BOY

ligi kuu ya Djibouti inaendelea kwa Kasi kubwa

ni Ligii kubwa tena ya kusisimuwa sana uku wapenzi wengi awajafaam kama ligii ya Djiboutie ni ligi ambao inatazamwa na wengi sana uko nchini Djiboutie. ni ligii ambao kunapatiaka wachezaji wengi kutoka mahali mbalimbali ya Afrika. kuna wachezaji wa wili kutoka Burundi Nzokira Jeff ambae alikua golikipa wa zamani wa Vital'o Fc kwa sasa anaichezea As Djibouti Telecom, klabu yake inazidi kuwa imara sana na kwa mchango mkubwa sana wa Nzokira Jeff ama ukipenda muite Baba Jol. amekwisha fungwa goli 3 tu kwenye mechi 4 uku wakishikilia na fasi ya kwanza kwenye msimano wa ligi kuu ya Djibouti kwa pointi 15 katika mechi 4  uku wakiwa sambamba na klabu ya A.S port, tofauti ya goli 2 tu.
hizi ndizo kombe ambazo klabu yake imekwisha chukuwa
 mchezaji mwingine pia ni Andosango Freddy ambae alikua mchezaji wa klabu ya Lydia Lydic Academic, ni mchezaji mzuri wa kati ata kwenye ngome ya ushambuliaji. Freddy amekwisha cheza misimo miwili uku akishikilia kombe la ligii Kuu ya Djibouti mwaka ulio pita na kombe ya Super cup. wanazidi kujitolea sana uku akiambia blog hii kwamba ukiwa ugenini ndio unafaamu umahiri wako na uwezo pia, kwamaana unajituma ipasavyo ilimradi tu ubaki kwenye hali nzuri ya kupendeza na uaminike na mashabiki wa klabu yako.


huu msimu ndio klabu ya AS Djibouti Telecom imemsajili kocha mrundi Armas kutoka Burundi tena amewahi kuwa kocha wa timu ya taifa  Ya Burundi Intamba Murugamba. Kocha Armas anazidi kufanya vizuri uku amekwisha ipatisha klabu ya AS Telecom Djibouti kombe lake ya kwanza ambao ni kombe ya Super Cup. mechi tano ajapigwa ata moja na anazidi kushikilia na fasi ya kwanza kwenye msimamo  wa ligi.
kwakweli ligi ni ngumu ukilinganisha na mwaka jana, kwamaana timu zote ziko tayari na zimesajili ipasavyo, unaona upinzani unakuwa ni kwetu kila klabu inapenda kutufunga kwasababu sisi ndio wabingwa wa mwaka ulio pita, iyo ainipi tatizo kwasababu niko kikazi na ndio kazi yangu nitahakikisha nazidi kufanya vizuri, amesema Kocha Armas.

Hakuna maoni