hawa ndio wachezaji 18 wa Intamba Murugamba wamejielekeza nchini Rwanda kwenye mechi ya kirafiki
Baada ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi na timu ya taifa ya Tanzania nchini Dar-es-Salaam tarehe 9/12/2014 ilio pita, Timu ya Taifa Intamba imepata Ushindi wa Bao mbili kwa moja ya Tanzania. Ivi karibuni Kamati nzima na wachezaji 18 walio itwa kwa kupambana na timu ya taifa ya Rwanda nchini Rwanda kwenye uwanja Regional Nyamirambo mjini Kigali. ifikapo tarehe 20/12/2014 saa tisa kamili (15h00').
Tuwa kumbushe kama ni mechi za kirafiki ambazo timu ya Taifa Intamba Murugamba (U23) inaendelea kucheza na nchi mbali mbali.
Timu ya taifa Intamba imefika mjini Kigali leo Ijumaa saa mbili na nusu (20h30) kwenye usafiri wa gari Valcano Express na vijana wetu wanapiga kambi kwenye Hotel Alpha Palace mjini Kigali.
mechi ni hapo Tarehe 20/12/2014 saa tisa kamili.
orodha kamili upande wa Burundi ni:
1.Mbonihankuye Innocent Madede:LLB
2.Ds:David Shakuru:Vitalo
3.Issa Hakizimana:LLB
4.Niyonkuru Nassor:Athletico
5.Kiza Fataki:LLB
6.Christophe Lucio:Cibuto
7.Emmanuel Manu:LLB
8.Abbas Nshimirimana :Buja City
9.Fabrice Messi :LLB
10.Laudit Mavugo :Vitalo
11.Fiston Abdul Razak :Sofapaka Kenya
12. Arakaza Mc Arthur:Vitalo
13.Amissi Cedric:Cibuto:Mozambique
14.Omar:Muzinga
15.Rashid Léon :LLB
16. Duhayindavyi Gael:LLB
17. Mubango Tresor : Athletico
18. Styves Nzigamasabo:Vital'o
Post a Comment