baada ya ukimya sana msani Gaga Blue ivi karibuni anakuja kwa kasi na hali mpya
ni msani ambae mashabiki wengi wanamfaham sana kwenye nyimbo yake ya Buja Fleva akishirikiana na Sal-G. amezidi kuja kwa kasi sana na Bujumbura akaidhibiti. Tumeojiana naye na ametuweka wazi kwa ku kaa kimya sana mda mrefu. amekuwa na mengi :
Burundifleva: asww bro vip hali yako ?
Gaga Blue: w3 niko poa namshkuru Mungu.
BurundiFleva: ok bro sasa izi siku uko kimya sana kulikoni?
Gaga Blue: hahahaahahaha wapi mi nipo ila kikazi (music) niko kimya nimeamua kuto onekana na kutofanya track ata moja ila kwasasa niko tayari kuanza kuacha kazi zangu ewani na kwenye ma radio mbali mbali.
BurundiFleva: ok kwa mda wote huu ulikua kimya umejifunza nini na kitu gani unawaletea mashabiki wako?
Gaga Blue : dah ni mengi sana nafikiri wataipenda kazi yangu tu wakae mkao wa kula.
Burundifleva: umekuwa umeanza kusikika na kuwekwa kwenye levo ya ma star wa Burundi fleva ivi auoni kama umerudi nyuma miongoni mwa wa supa star?
Gaga Blue : kurudi nyuma? hapana kweli nitabaki ule ule tena ivi ninajiisi niko mubichi nakuja kwanza na hali mpya na kasi pia ivi siachi kitu najua tu wataipenda,nimekwisha wasoma ivi awanisumbuwi, uwezo utawaukum.
Burundi Fleva: ivi unajiandaaje?
Gaga Blue; kwasasa niko na song 5 ambazo nataka niziachie kwenye ma radio tofauti na kuna kazi moja nimekwisha achia ni Me and you ambao nimeimba na Chany Queen, kwasasa niko kwenye arakati nzima ya video yake(me and you), natarajia kuiweka adharani video iyo ivi karibuni ambao itakuja na mvuto mkubwa sana.
Burundifleva: ok tunashukuru sana Gaga kwakuitika wito wetu leo na kutupa marefu ya kazi yako, sijuwi una mengine?
Gaga Blue: yah kama kawaida nataka tu kuwa fahamisha ma fans wangu kama mi nipo na ningali na mengi sana nazidi kuandaa kwajili yenu, pia nashkuru sana kwa Burundi Fleva nasema asante sana, utaipenda holla man!!!
Gaga Blue ametuweka wazi kama nyimbo zake 5 ambazo ni newz track zitazinduliwa siku chache ivi karibuni kwa uwezo wa Mungu.
Post a Comment