Kidumu apendeleyi mambo inao andikwa kwenye mitandao ya kijamii
Msanii kidumu ambae alikua anasherekea miaka 40 ya kuzaliwa na 30 ya music. amekua na tamasha sehem mbali mbali, nje na dani ya nchi.
amesikika leo tarehe 04/12/2014 kwenye radio Bonesha katika kipindi Easter Afrika Melodie yake Uncle B.
amezungumzia mengi ila kuna neno amesikitiza sana na kuonya waandishi, watangazaji na wasani pia.
amesema maneno ya busara sana na hali halisi ambao inazidi kuendelea kwenye mitandao ya kijamii.
amesema kwamba, izi siku kuna baadhi ya watangazaji, waandishi wahabari na wasanii pia, wameona njia ya kujulikana ni ya kumtangazia mwingine mambo mabaya tena ya uomngo ili mradi tu ajulikane na adharaulishe mwenzake uku akisahau kwamba mamilioni ya watu wanamsikiliza ao wanasoma habari yake. ameongeza tena , aunijuwi sikujuwi tumejuana kwenye game hii ya music ila habari zangu za uongo na mbaya ila mazuri aizungumuzwi.
hii tabiya ipo sana hapa nchini Burundi kwa baadhi ya watangazaji na waandishi wanapenda kuponda wasanii wa Burundi na wengine wanazungumzia nchi yao vibaya uku wakisahau kutangaza mazuri ya nchi.
amesema kwamba mara nyingi tunasoma habari izo inatupa woga sana tukiwa ugenini.
ivi tunapenda tuendeleye ao tunahitaji turudi nyuma? kufatiliana na kusemana mambo mabaya wakati unajua kwamba msanii anawakilisha nchi nzima kwenye nyimbo nawe unazidi kumuandikia mabaya sijuwi eti ame copy ao ameiba, anaitaji msaada ili afanikiwe collabo, ...
ndivyo ulivyo soma suleni kweli? mi ninaimani aujasoma. kama mwandishi ao mtangazaji awezi kuponda ila atasema mambo halisi na mengine anamezea.
tunawatia woga wananchi wanao ishi nje ya nchi na wageni pia.
kuna msanii umoja wa Uganda amemuuliza msanii umoja wa buja anaijulikana kwa jina la Jintri Jentrino, nakumuambia kwamba :
nimesikia uko buja ukitaka uwe juu ao uwe star sana watu wakufaam kwa kazi yako ya music ao uwandishi, lazima uwe na bifu na msanii mkubwa wa hapo?
hii hali kweli sio freshi na mzee Kidumu amesisitiza nakusema walio natabia ya ivo waache kama auna habari ya kuandika bora ulale. bifu aijengi ila inabomoa na mwishowe tunabaki hapahapa mwenzetu wanaendelea.
Post a Comment