MISHE-BOY

hii ndio orodha ya wachezaji 28 wa Intamba murugamba (U23) walio itwa kwa kujiandaa mechi dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania

Timu ya Taifa ya Intamba Murugamba inajiandaa mechi ya kirafiki dhidi ya Timu ya taifa kutoka Tanzania, ni mechi ambao nchi ya Tanzania imeomba Burundi mechi ya kirafiki ili kujiandaa vyema na mashindano ya kombe la Afrika kwa wachezaji wasio dhidi miaka 23. mechi inapangwa kucheza mjini Dar-es-Salaam tarehe 9/12/2014. ma kocha pande zote mbili waliitisha wachezaji 28 baadae watapunguzwa ili kubaki na idadi ya wachezaji 18 ambao watajielekeza Dar-es-salaam kucheza mechi ya kirafiki.
twakumbushe kuwa timu ya Taifa ya Burundi itacheza mehi mbili ya kirafiki baada ya kucheza na timu ya taifa DR Congo kwa mechi ya mtowano ya kushiriki kombe la kimataifa barani Afrika kwa wachezaji wasio zidi miaka 23.
mechi ya kirafiki ya pili  ya  Intamba Murugamba itacheza na Rwanda tarehe 20/12/2014 nchini Rwanda.
kocha wa Timu ya Taifa Intamba Murugamba Rainer WILLFELD, amechaguwa wachezaji 28 ambao wameanza mazowezi tarehe 01/12/2014 kwenye uwanja wa Mwanamfalme Prince Louis Rwagasore.
inasemekana kama ligii kuu ya Primus League itasimama kwa mechi ya wiki ya14 na itachezwa tarehe ambao aijajulikana kwa sababu ya timu ya taifa itakua inajianda vilivyo kwa mechi za kirafiki.
wachezaji ambao wameitwa uku kuna baadhi ya mashabiki wakiomba mchezaji Amimu Neymar akiichezea klabu ya Chibuto nchini Mozambique aweze kuitwa, uku wengi wakimukubali kwamba anaweza kusaidia sana kwenye timu ya Taifa ila kwenye orodha ya wachezaji 28 ayupo, mashabiki wanahofia pengine mchezaji anaweza kubadili fikra na kuichezea nchi nyingine badala ya nchi yake Burundi. Mchezaji Amimu yupo Burundi kwa mapumziko. kocha na kamati nzima ya soka ya Burundi ndio inafaamu umahiri wa kila mchezaji.


hii ndio orodha yenyewe ya wachezaji 28

 ma goli kipa :
1. Mc Arthur ARAKAZA / Vital'o fc
2. MBONIHANKUYE Innocent Madede / LL B s4a
3. Johnathan / Rusizi Fc
4. Amissi KANDOLO / Athletico Olympic

walinzi (beki) :
5. NSHIMIRIMANA David Shukuru / Vital'o Fc
6. Omar / Muzinga 
7. NDUWAYEZU Nice Francky / Messager Bujumbura
8. Issa Vidic / LL B s4a  

 Ma Alfu beki :
9. NIYONKURU Nassor / Athletico Olympic 
10. RASHID Leon / LL B s4a 
11.  Kiza FATAKI / LL B s4a
12. VOVO-Selemani / Vital'o Fc

wacheza wa kiungo (milieux):

13. NDUWARUGIRA Christophe Lucio / Chibuto - Mozambique.
14. NAHIMANA Shassir / Vital'o Fc
15. NININAHAZWE Fabrice Messi / LL  B s4a
16. MUBANGO Tresor / Athletico Olympic
17. MVUYEKURE Emmanuel Manou / LL  B s4a
18. NIREMA Yves / Inter star
19. NSHIMIRIMANA Abassi / Bujumbura City
20. Iddi Saidi Juma Ballack / LL s4a
21. SABUMUKAMA Enock / Messager Ngozi
22. HUSSEIN Shabani Chabalala / Vital'o Fc
23. AKIMANA Tresor / Athletico olympic
 
 washambulizi:

24. MAVUGO Laudit / Vital'o Fc
25. ABDUL-RAZZAK Fiston / Sofapaka - Kenya
26. NDAYISHIMIYE Alexis / Athletico olympic
27. NSHIMIRIMANA Hassan / Inter star
28. MURUTABOSE Hemedy / LL  B s4a

 

Hakuna maoni