MISHE-BOY

kocha Stephen Keshi wa timu ya taifa ya Nigeria amerudishwa kwenye timu baada ya kufukuzwa siku zilizo pita

kocha Stephen Keshi amerudia kwenye uongozi wa timu ya taifa ya Nigeria baada ya kufukuzwa siku zilizo pita baada kupata ushindi nyumbani dhidi ya Sudan. kwasasa Nigeria ni ya tatu katika kundi A. Timu ya Nigeria ndio inayo shikilia kombe hii ya Afrika, raisi wa nchi ya Nigeria Goodluck Jonathan amesisitiza kocha uyo arudishwe kwenye uongozi wa timu ya taifa kwa mechi mbili zinazo baki.
 kwa marudio yake kocha  Keshi ameita wachezaji 24 ambao watakao chuana dhidi ya Congo na Afrika ya Kusini.
 kwenye kikosi hicho ameita mshambuliaji wa Villarreal, Ikechukwu Uche ambaye mda mrefu alikua aitwi kweny kikosi ccha timu ya taifa ya Nigeria

hii ndio wachezaji ambao wameitwa na kocha Keshi

Golikipa : Enyeama, Ejide, Agbim

Walinzi : Echiejile, Oshaniwa, Ambrose, Kwambe, Oboabona, Omeruo, Azubuike, Egwuekwe

wakati : Obi Mikel, Onazi, Akpan, Lawal, Aluko, Edjomari, Musa

washambulizi : Emenike, Salami, Osaguona, I. Uche, Aaron, S. Emmanuel

Hakuna maoni