MISHE-BOY

wachezaji 23 wanao ngombania mpira wa dhabu

kama kawaida ya kila mwka shirikisho la mpira wa miguu FIFA na France Football inatowa uteuzi wa  kwanza kabla ya trio ya mwisho tarehe 1 decemba na sherehe itakao amuwa mushindi ifikapo tarehe 12 januari 2015.
wachezaji kama Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, kama kawaida ndio wanao pewa na fasi kubwa ya kuchukua tunzo hio, lakini wanapaswa kuwa nahofu ya nje ya kuaminika baada ya mwaka mzima, kama Wajerumani Manuel Neuer na Thomas Müller, mabingwa wa dunia, na Argentina Angel Di Maria ambaye amefanya vizuri na anazidi kufnanya vizuri kwenye klabu yake ya mpya ya Manchester United.
 wa tatu mwaka jana, Franck Ribery na akuwepo kwenye kombe la dunia kwajili ya majeraha, kwenye orodha haonekani. Karim Benzema na Paulo Pogba, ambao wanaoneka kwa mara yao  kwanza, ni raia wawili wa Ufaransa.
 Zlatan Ibrahimovic atakuwa mwakilishi umoja kutoka kwenye Ligi 1 ya Ufaransa. James Rodriguez, ambaye aliondoka Monaco na kujiunga na Real Madrid huu majira, pia itakuwa ni  kwa mara ya kwanza kuwekwa  kwenye orodha hii.
 na mchezaji umoja kutoka Afrika ambaye anaye ichezea klabu ya UIngereza, Yaya Touré kama kawaida yake sio mara yake ya kwanza kwenye orodha ya tunzo hii, baada ya kufanya vizuri mwaka ulio pita na ivi anazidi kufanya vizuri.
 mchezaji ambae amekwisha chukuwa tunzo hii ya Mpira wa dhahabu mara nyingi kuliko wote ni Lionel Messi na mwaka huu anategemea kuchukuwa tena na uku mpizani wake ambaye ndiye anaye shikilia tunzo hio, Christiano Ronaldo anakuja kwa kasi sana kwa kufunga magoli uku akimuacha mwenie mbali sana, kuna vigezo mbalimbali ambayo inaweza kumfanya mchezaji ateuliwe na apewe tunzo ya mpira wa dhabu, sio kufunga magoli tu na mengineo.

 Hii ndio orodha kanuni ya wagombea 23 wa mpira wa dhahabu

1.Gareth Bale (GAL/Real Madrid)

2. Karim Benzema (FRA/Real Madrid)

3. Diego Costa (ESP/Atletico Madrid kwasasa Chelsea)

4. Thibaut Courtois (BEL/Atletico Madrid kwasasa Chelsea)

5. Cristiano Ronaldo (POR/Real Madrid)

6. Angel Di Maria (ARG/Real Madrid kwasasa Manchester United)

7. Mario Götze (ALL/Bayern Munich)

8. Eden Hazard (BEL/Chelsea)

9. Zlatan Ibrahimovic (SUE/Paris SG)

10. Andres Iniesta (ESP/FC Barcelone)
 
11. Toni Kroos (ALL/Bayern Munich kwasasa Real Madrid)

12 Philipp Lahm (ALL/Bayern Munich)

13. Javier Mascherano (ARG/FC Barcelone)

14. Lionel Messi (ARG/FC Barcelone)

15. Thomas Müller (ALL/Bayern Munich)

16. Manuel Neuer (ALL/Bayern Munich)

17. Neymar (BRE/FC Barcelone)

18. Paul Pogba (FRA/Juventus Turin)

19. Sergio Ramos (ESP/Real Madrid)

20. Arjen Robben (HOL/Bayern Munich)

21. James Rodriguez (COL/Monaco kwasasa Real Madrid)

22. Bastian Schweinsteiger (ALL/Bayern Munich)

23. Yaya Touré (CIV/Manchester City)

Hakuna maoni