CAN 2015, Algeria na Tunisia kuandaa kombe la Afrika 2015?
baada ya madai ya nchi ya Moroko kukataa kuandaa kombe la Afrika Can 2015, kwa madai kwamba wanataka kugeuza tarehe ya maandalizi hayo yaani kombe iandaliwe katika majira ya joto ya 2015 badala ya 2015 majira ya baridi.
sirikisho la soka barani Afrika imeanza na eka eka ya kutafuta nchi ambayo itakao jitokeza kuanda kombe hio. Ila inchi kazaa imekataa kabisa ikiwemo Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri na mengine. leo hii tarehe 01/11/205 ndio nchi ya Algeria imejitokeza na kukubali kuandaa kombe La Afrika.
maombi ayo imefurahisha sana Shirikisho la Soka la Afrika ambao imeisisitiza nchi ya Algeria kuandaa tukio ikishirikiana na Tunisia.
bado tunasubiri kuona mtazamo wa viongozi wa juu watakavyo tarajia.
Kocha wa Angola, Romeu Filemon |
Kocha wa Angola, Romeu Filemon, ilizindua orodha ya wachezaji 27 wa awali kwa ajili ya michezo miwili ya mwisho ya kugombania kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika Can 2015. Angola itampokea Gabon mjini
Luanda tarehe 15 novemba baada ya kujielekeza mjini Ouagadougou tarehe 19 novemba kwa kuchuana na Burkina Faso.
Manucho |
Kocha wa Cameroon Volker Finke |
Cameroon ndio inayo ongoza kundi D, itacheza na DR Congo baadaye itacheza na Ivory Cost mechi ya mwisho. kocha mwenye asili ya Ujerumani Volker Finke ameteula kundi ya wachezaji 24, kocha huu akubadili sana kikosi chake ila tu kuna wachezaji wa wili kama Patrick Ekeng, kiungo wa Cordoba ya Hispania, na mlinzi wa Odessa (Ukraine), Adolphe Teikeu. Kwa upande mwingine, Cameroon itafanya bila ya huduma ya wachezaji Eyong Enoh, Joel Matip na Franck Kom, awa awatakuepo.
Patrick Ekeng |
Adolphe Teikeu |
Post a Comment